Maintenance Tips

Calender

June 2013
M T W T F S S
« May    
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930

Wanasheria wasifia uteuzi wa Jaji Mkuu

James Magai  BAADHI ya wanasheria nchini wamesifia uteuzi wa Jaji Mohamed Othman  kuwa Jaji Mkuu mpya wa Tanzania wakisema umefanyika kwa umakini mkubwa.  Wakizungumza kwa nyakati tofauti muda mfupi baada ya sherehe za kuapishwa jana,  walisema Jaj…

JK amteua Chande Othman kuwa Jaji mkuu mpya

James MagaiRAIS Jakaya Kikwete, amemteua Jaji Mohamed Chande Othman, kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania.Jaji Othman, anachukua nafasi ya Jaji Augustino Ramadhan anayestaafu leo kwa mujibu wa sheria.Taarifa iliyotolewa jana na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, il…

Walimu 16,000 wa sekondari wakosa ajira

Gedius Rwiza WAKATI Shule za Sekondari za Serikali zikikabiliwa na upungufu mkubwa wa walimu, imebainika kuwa walimu 16,000 waliohitimu shahada ya kwanza na stashahada kati ya Mei na Julai mwaka huu, hawajapangiwa vituo vya kazi.Katika hali ya kawaida,…

Sitta amvutia pumzi Mgeja

Sadick Mtulya na Boniface MeenaWAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, amesema amasubiri kwa hamu hoja binafsi iliyoahidiwa kuwasilishwa Halmashauri Kuu ya CCM na Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Shinyanga, Hamis Mgeja,.Alhamisi iliyo…

SAKATA LA MAWAKILI BINAFSI: Wanasheria wa Serikali watupa lawama kwa AG

James MagaiBAADHI ya wanasheria waliowekewa pingamizi na serikali wasisajiliwe kuwa mawakili binafsi, wamelalamikia kuwa  kitendo ni uonevu mkubwa. Wanasheria 50 waliwekewa pingamizi na serikali wakati wa sherehe za 42 za usajili wa mawakili wapya zil…

Dk Mwakyembe awashukia watendaji halmashauri

Raymond KaminyogeHALMASHAURI za wilaya zimeelezwa kuwa ndiyo ‘vichaka’ vya mafisadi wa fedha za barabara ambazo hutolewa na Bodi ya Mfuko wa Barabara nchini (RFB).Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk Harrison Mwakyembe, alisema maofisa wa halmashauri wamekuw…

Ngeleja aishtua Ewura kuhusu wachakachuaji

Patricia KimelemetaWAZIRI wa Nishati na Madini, William Ngeleja, ameitaka Mamlaka ya Udhibiti na Usimamizi wa Nishati na Maji (Ewura), kufanya ukaguzi wa mafuta kwenye kampuni zilizowekewa vina saba ili kubaini iwapo zimechakachua au la.Hatua hiyo imek…

Kituo cha Polisi Z’bar chateketea kwa moto

Mohammed Mhina wa Polisi ZanzibarKITUO cha Polisi cha Mokokotoni katika Wilaya ya Kaskazini A mjini Unguja, kimeteketea kwa moto uliotokana na hitalafu ya umeme kwenye paa la kituo hicho.Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kasikazini Unguja, Mselem Masudi Mtu…

Maaskofu wambana JK

Waandishi WetuVIONGOZI wa dini wamemuonya Rais Jakaya Kikwete kwamba matatizo mengi ya kiutawala anayoyapata yanatokana na usaliti wa wasaidizi wake wa karibu huku wakisisitiza serikali itende haki ili kuepusha vurugu.Wakihutubia kwa nyakati tofauti ju…

Waumini RC Rukwa ‘wakiri’ kukashifu

Geofrey Nyang’oro, SumbawangaKUTENGWA kwa waumini wa Kanisa Katoliki wilayani Sumbawanga ambao walitengwa mara baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu kunaweza kuhusishwa na masuala ya kisiasa, lakini imebainika kuwa walinajisi kanisa katika kusherehekea u…

Wafanyakazi nchi nzima kuandamana

Zaina Malongo KILIO cha wananchi kupinga kupanda kwa bei ya umeme, sasa kimehamia kwenye moja ya makundi makubwa na yenye nguvu baada ya Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania(Tucta) kuandaa maandamano nchi nzima kupinga bei mpya. Tayari Chadema …

Mazembe prepare for Champions League defence

FIFA Club World Cup runners-up TP Mazembe will begin their quest for a record third consecutive CAF Champions League title against Tanzanian or Comorian opposition.

Toyota OPA in Tanzania

Steven, I am very happy to say thanks very much for the co-oparation you gave to me untill I received my car.  Today I drove my new car from M ombasa to holili for custum formalities and I have to say I received the car with a very good condition no any problem and the [...]

Cameroon stumble in busy day of qualifiers

The latest round of 2012 African Nations Cup qualifiers saw Cameroon stumble at home, Côte d’Ivoire maintain their perfect start and Morocco claim their first points.

Nissan X-Trail in Tanzania

Hi Osawa, This is to infrom you that we received the Car we ordered (Nissan Xtrail) in good condition and it is now on the road and we are enjoying. We looking forward to do more business with you. Please pass my kind to all who were involved to make a deal successful. Best regards Hashim [...]

Eto’o at the double, Uganda crush Angola

Samuel Eto’o scored twice as Cameroon beat Mauritius, and Uganda outclassed Angola 3-0 in Kampala as the 2012 CAF Africa Cup of Nations qualifying competition kicked off.

Champions kick off in style

Reigning champions Equatorial Guinea and continental giants Nigeria took command of their African Women’s Championship qualifying ties with away wins.

Africa’s road to Germany begins

Congo DR, Côte d’Ivoire, Guinea, Namibia, Senegal and Tanzania all advanced in the preliminary round of the CAF African Women’s Championship qualifiers.

TANZANIA Dar es Salaam Offce

Tanzania customer service center Place   Hidery Plaza 1St Floor Upanga/Kisutu Street  , Dar es Salaam ,Tanzania TEL: +255 022 212 2020 Tigo 0653 671 167 AirTel  0683 567 177 FAX: +255 022 212 2022

Tanzania 2000 Toyota Vista Ardeo

Dear Kaoru. I would like to extend my sincere appreciation for you and your company for facilitating purchase, shipping and delivery of the mentioned vehicle. I have received it safely and secure here in Dar es Salaam, Tanzania. I really appreciate and wish to have a lasting business relationship. This car is very very nice [...]

TANZANIA Customer /TOYOTA CARINA

She is a customer of Tanzania. We were entertained with a lunch. It was very delicious. Thank you.

UGANDA Customer TOYOTA Ipsum

Hell mr osawa thanks for the endavors you showed me,as i informed you that the vehicle arrived safely .I have attached the photos thats me infront of it wearing a brown trouser.

Silla Philip from Tanzania TOYOTA PREMIO

Hi Osawa, I hope you are doing well. I wouldlike to send you and the whole Nextage Staff my sincere appreciations as I have received Toyota Premio in an excellent condition. I am expecting to do bussiness with you again in the near future. May I wish you all the best. Kindly Regards, Silla Philip.

Nissan Blue bird of year 2000 / Tanzania

Dear Osawa! Am glad to inform you that I’ve got my car Nissan Blue bird of year 2000.At last my Car is with me. It takes very short time to clear through our port and it’s very intact and gorgeous. Am glad to find out that its more beautiful than I thought it was on [...]

2001 Toyota Carina

Dear Osawa, At last my Car is with me. It takes so long time to clear through our port due to their System Technical Faults. Please find some photos with me. Best Regards James

Kiwis taste defeat in Africa

Tanzania have dented New Zealand's confidence by inflicting a 2-1 defeat on the Oceania champions prior to the upcoming FIFA Confederations Cup.

Ahly on brink as giants waver

Al Ahly are in a strong position to reach the last 16 of the Champions League, but Club Africain and JS Kabylie must overturn deficits on away soil.

Eleven enter the fray

Eleven teams will initiate their trophy charge when the second round begins, including the previous two African champions, Etoile Sahel and Al Ahly.

A shared passion in Tanzania

FIFA.com takes an in-depth look at how Tanzania's national team and its top club are helping to forge a new future for the country's football.

Congolese heroes back in action

Tout Puissant Mazembe stars return to the international stage this weekend after helping Congo DR win the African Nations Championship.